Saturday, July 23, 2011

LIGHTS CAMERA POZI









NI MWENZI UJAO.

Mwenzi ujao litakuwa limeshafunguliwa,sio kwa wajawazito tu bali hata kina mama na kina dada wanene watapata jeans,top dress na vituvingine vingi usikose kutembelea kama utakuwa mjini Arusha. 

Sunday, July 17, 2011

UTALII WA NDANI


Mwezi juzi nilipata kutembelea mbuga ya wanyama,Ngorongoro nakunifanya nivutiwe sana na mazingira mazuri ya nchi yetu,.Wakati mwingi huwa tunasisitizwa kutembelea mbuga zetu za wanyama lakini huwa tunapuuza sasa huwa sielewi watu wanapokuwa nje za wenzetuwanakuwa mabalonzi wazuri kwa kujieleza vipi kama MTANZANIA...(wachana na gadhabu za wawekezaji,mafisadi na umeme)




 Hapa ni getini kbla yakuingia Ngorongoro ambapo watu hulipia na kupata Historia kidogo wa watu wakale kama inavyoonekana.

Monday, July 11, 2011

HABARI NZURI KWA KINA MAMA WAJAWAZITO AU WANAOTARAJIA

 Wiki iliyopita mjasiriamali huyu  bi Sheila NA mumewe walitia timu ndani ya mji wa Arusha kwaajili ya maandalizi ya kufungua duka la mavazi ya wajawazito.Kina dada wengi walizoea kuvaa free dresses tu,lakini sasa Bi,Sheila Fashonistaaaa....anakuletea mavazi yote uliyozoea kuvaa lakini yakiwa yametengenezwa kwaajili ya wajawazito..Hivyo basi litakapofunguliwa nitakupasha habari hizo nzuri.


Walipata muda wakutembea maeneo tofauti ya mji wa Arusha kama Hoteli hii kubwa E.Africa Ngurudoto.