Tuesday, April 19, 2011

Ronaldo: Usiondoke Jose

Cristiano Ronaldo amemuomba Jose Mourinho asiiache klabu ya Real Madrid na kuelekea upande wa ligi kuu nchini Uingereza.


Kama unakumbuka mwezi uliopita kuliwahi kuwa na taarifa kwamba ‘Special One’ anampango wa kurudi nchini Uingereza kufundisha timu ya huko.

Mourinho ambaye aliondoka Chelsea mwaka 2008 na kujiunga na Inter Milan aliwahi kuhusishwa na tetesi za kushika nafasi ya kocha Sir Alex Ferguson kuifundisha Manchester United.

Lakini Ronaldo ambaye kabla ya kujiunga na Madrid alikipiga Manchetsrer United amesema kwamba Jose ni msingi wa sehemu ya mafanikio yao.

Ronaldo amesema Mourinho ni kocha mwenye mafanikio sababu ameshinda mataji kadhaa na sasa ni wakati wa kuibebesha mataji hayo klabu hiyo ya nchini Hispania.

Madrid inakabiliwa na michezo mitatu migumu dhidi ya mahasimu wao wakubwa Barcelona ikiwa ni pamoja na mchezo wa jumamosi ya tarehe 16 wa ligi ya Hispania, pia watakutana katika mchezo wa kombe la Hispania pamoja na mchezo wa nusu fainali ya klabu bingwa barani ulaya michezo yote hiyo ni ndani ya wiki mbili.

Siku ya Ijumaa Mourinho alishindwa kuuzungumzia mchezo w ao dhidi ya Barca jumamosi tarehe 16 na badala yake akimsukumia kazi hiyo kocha wake msaidizi Aitor Karanka kujibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari.

Wednesday, April 13, 2011

Britney Spears, Rihanna record together


Pop singer Britney Spears has confirmed she will appear in a remix of Rihanna's track 'S&M'.
'Hold It Against Me' hit maker Spears appears in a remix of Rihanna's recent raunchy single 'S&M', with Rihanna promising the results are sexy, reports contactmusic.com.

"I got a SEXY collabo comin your way supa dupa soon!!!! OH YEAH!!! By popular demand... Its BRITNEY!!! (sic)," tweeted Rihanna.

Britney responded, tweeting back: "You're such a tease! I like it, like it. You think they're ready Ri Ri (sic)?".

Rihanna added further praise for the star: "Britneyspears One of the biggest worldwide popstars! U gangsta #EPIC (sic)."

Britney returned the compliment, writing: "You ain't so bad yourself honey (sic)."

The release date for the remix is yet to be given.