Saturday, August 6, 2011

WEEKEND NJEMA WOTE!

Weekend yangu imeanza vizuri natumaini na ya kwako itaendelea kuwa nzuri.

FMD Arusha.

Kwa wakulima wote Tanzania na nchi za jirani hapa ndio sehemu yao yakununulia Trekta pamoja na vifaa vyote vinavohusu ukulima.

Unapoingia tu Fmd lazima ukutane na dada huyu kwa maelezo zaidi Bi Brigita Phillip.

Meneja wa FMD

Thursday, August 4, 2011

MECHI ZA CHANGANI.

Weekend hii vijana wa Machimbo ya madini ya Tanzanite one walichuana kwenye kusakata kabumbu na wakulima wa Mji wa Karatu.,Wenye Jezi ya Rangi nyekundu ni wanakijiji wa Karatu.


vijana wa munjini wakicheki soka la mchangani lol...it was very fn to watch.


Mmoja ya wachezaji wa Tanzanite One Frank a.k.a Babu alitoka uwanjani baada ya kuumizwa jicho.

Kipindi cha mapumziko.



 Dakika za mwisho za kipindi cha pili kijana Hajji Mzava wa Tanzanite one akijaribu kuutingisha wavu wa wakulima.
Na mpira umekwisha.



 Kama kawaida vijana wa mjini waliweka pozi za picha baada ya kuwafunga wakulima kwa mbili,moja.
 Nilivutiwa sana na mwana dada huyu aliyekuwa anaendesha pikipiki.wakati sisi wadada wa mjini tukijifanya masista duh..
 Nilisubiri mpaka pale alipochapa mwendo kama unanyomwona tena bila kusuasua.
Hii ndio timu wa Karatu,walipokuja kuungana na sisi kwabla ya kuondoka mjini karatu.,ambapo walihaidiwa Jezimpya na vifaa vya michezo
Ukiwa mchimbaji wa Madini ya Tanzanite one u must have one of this cars,kwasababu ya barabara mbaya inayoelekea kwenye machimbo hayo.

Hawa ndio Yoriyori a.ka Sharobaru wa Karatu.

SORRY GUYZ!!!


Sorry marafiki kwakuwa kimnya kidogo mihangaiko tu ya kimaisha hasa kwa Tanzania yetu ya sasa maisha yanatupeleka puta kweliii..nakujikuta tukiwa kwenye mihangaiko ya kimaisha kupitiliza,..but am back kwa sasa...missed you all.

Saturday, July 23, 2011

LIGHTS CAMERA POZI









NI MWENZI UJAO.

Mwenzi ujao litakuwa limeshafunguliwa,sio kwa wajawazito tu bali hata kina mama na kina dada wanene watapata jeans,top dress na vituvingine vingi usikose kutembelea kama utakuwa mjini Arusha. 

Wednesday, July 20, 2011